MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA 2023 KWA KIDATO CHA KWANZA NA KIDATO CHA TATU UMEANZA KUFANYIKA.



Shule ya sekondari uchile inawataarifu wazazi na walezi kuwa mtihani was mwisho wa mwaka (annual examination) umeanza Kufanyika Leo tarehe 29/11/2023. Hivyo mzazi au mlezi unashauriwa kumkumbusha mwanao;

Kuwahi shule kwaajili ya kufanya mtihani kwa wakati.

Kufanya maandalizi mapema kwa Mambo yote yanayo husiana na mtihani.

Kujisomea na kuepuka makundi yasiyo husiana na elimu kwani kila kitu kina athari katika taaluma ya mtoto.

" Mtoto Ni Taifa la Kesho"

UCHILE SEKONDARI TUNAWATAKIA WANAFUNZI  WOTE MTIHANI MWEMA.

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2023 LAELA A, LAELA B, KAMYALILE, MTINDILO NA NDELEMA

 



Angalia matokeo ya darasa la saba 2023 kwa shule za msingi laela A, B, Kamyalile, na ndelema  kupitia viungo hapa chini

LAELA   A  BOFYA HAPA KUANGALIA

LAELA   B BOFYA HAPA KUANGALIA

KAMYALILE  BOFYA HAPA KUANGALIA

MTINDILO   BOFYA HAPA KUANGALIA

NDELEMA BOFYA HAPA KUANGALIA

NECTA RESULTS PLSE BOFYA HAPA KUANGALIA


STUDENT REGISTRATION PORTAL IS ALREADY UPDATED

 


Hello!!!!

This system will enable admission office to register students with  their all required document to simplify admission process and having permanent students database storage. this portal will allow admission officers to fill as how the system instruct.

Importance of this system 

  • Students data will help management to deal with occurred circumstance immediately according to data needed  

STUDENTS REGISTRATION PORTAL

MAHAFALI YA 14 SHULE YA SEKONDARI UCHILE



Kumbukumbu ya mahafari ya 14 ya kidato cha nne 2023.
 ni baada ya kuisha kwa hafla fupi baada ya sherehe . Hawa baadhi ya walimu wa shule ya sekondari uchile wakipata picha ya pamoja.