MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA 2023 KWA KIDATO CHA KWANZA NA KIDATO CHA TATU UMEANZA KUFANYIKA.



Shule ya sekondari uchile inawataarifu wazazi na walezi kuwa mtihani was mwisho wa mwaka (annual examination) umeanza Kufanyika Leo tarehe 29/11/2023. Hivyo mzazi au mlezi unashauriwa kumkumbusha mwanao;

Kuwahi shule kwaajili ya kufanya mtihani kwa wakati.

Kufanya maandalizi mapema kwa Mambo yote yanayo husiana na mtihani.

Kujisomea na kuepuka makundi yasiyo husiana na elimu kwani kila kitu kina athari katika taaluma ya mtoto.

" Mtoto Ni Taifa la Kesho"

UCHILE SEKONDARI TUNAWATAKIA WANAFUNZI  WOTE MTIHANI MWEMA.

No comments: