MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI KUFANYIKA SHULENI UCHILE SEKONDARI.

 Ikiwa ni kuthamini juhudi na nafasi ya mwanamke duniani. Uongozi wa Shule ya Sekondari Uchile umetoa Baraka zake kataka Maadhimisho ya Sikukuu ya wanawake kishule yatakayo fanyika tarehe 8 ya mwezi machi 2024 ikijumuisha walimu na watoto wote wa kike.

 Shule ya Sekondari Uchile inawatakiaWanawake wote Sikukuu njema.

No comments: