MONTHLY TEST RESULTS FEBRUARY 2024 FOR FORM TWO AND FORM SIX ARE READY OUT.



 Karibu katika ukurasa wa taarifa uchile sekondari. Matokeo ya mtihani wa mwisho wa mwezi Februari 2024 kwa kidato cha pili na cha sita yapo tayarari. Ndugu mzazi au mlezi unashauriwa kutembelea ukurasa wetu wa matokeo. Toa maoni na mapendekezo ili kujenga taaluma ya mtoto na kusaidia zoezi la ufundishaji na ujifunzani kwa mtoto

No comments: