UCHILE SECONDARY SCHOOL
To be the leading school with academic excellence , High discipline and cleanness.
KUFANYIKA KWA KIKAO CHA BARAZA LA SHULE FEBRUARI 2024
MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI KITAIFA KIDATO CHA PILI 2023 KUTANGAZWA
FOMU YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA UCHILE SEKONDARI MWAKA 2024
Pakuwa FOMU ya kijiunga kidato Cha kwanza MWAKA 2024 uchile sekondari soma na pitia maelezo muhimu yaliyo tolewa na taasisi.
Wanafunzi walio chaguliwa kujiunga kidato Cha Kwanza 2024
Wanafunzi walio chaguliwa kujiunga kidato Cha Kwanza 2024
LAELA A BOFYA HAPA KUANGALIA
LAELA B BOFYA HAPA KUANGALIA
KAMYALILE BOFYA HAPA KUANGALIA
MATOKEO YA MWISHO WA MWAKA KWA KIDATO CHA TATU 2023 YAMETOLEWA
HABARI:
NDUGU MZAZI/ MLEZI WA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU UCHILE SEKONDARI. TUNAPENDA KUKUTAARIFU KUWA MATOKEO YA MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA (JOINT ANNUAL EXAMINATION ) YAMETOKA LEO TAREHE 11/ 12 2023. TAZAMA NA PAKUA MATOKEO HAYO KUPITIA TOVUTI TEMBELEA UKURASA WETU WA MATOKEO.
MAAGIZO;
WANAFUNZI WOTE KIDATO CHA NNE MWAKA 2024 UCHILE SEKONDARI WANATAKIWA
1. KUKAA SHULENI
2. WAJE NA MCHANGO WA CHAKULA
i. Mahindi debe 9 kwa mwaka au debe 5 kwa nusu muhula
ii. Maharage debe 3 kwa mwaka au debe 1 na nusu kwa nusu muhula
iii. Fedha Tsh 80000/= kwa mwaka au Tsh. 40000/= kwa nusu muhula
3. Rim 2
NB: SHULE ITAFUNGULIWA TAREHE 8/1/2024
FUATILIA MAENDELEO YA MWANAFUNZI KUPITIA TOVUTI YETU: ASANTE.
WASILIANA NASI KWA NAMBA
MKUU WA SHULE: 0755311154.
MAKAMU MKUU WA SHULE: 0763777991.
MTAALUMA: 0745006848.